Jumamosi iliyopita tarehe
22 septemba 2012 pale Mbalamwezi kulifanyika maonesho ya wabunifu wa mitindo
(Mitindonite Tanzafashion Gala). Models walionyesha mavazi yaliyobuniwa na local
designers mbalimbali wakubwa na wadogo.
Ma Mc wa shughuli Irene
Tillya (left) & Double A (right)
No comments:
Post a Comment